Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Mwibara na Bunda anawatangazia Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) waliofaulu kwenye usaili kuhudhuria mafunzo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura jimbo la Mwibara na Bunda.. Kwa mwaliko huu, nawajulisha kuwa mafunzo hayo yatafanyika kwa siku mbili (2) kuanzia tarehe 01/09/2024 hadi 02/09/2024 katika ukumbi wa chuo cha ualimu Bunda. Orodha ya majina ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki waliochanguliwa baada ya usaili yameambatishwa.MWALIKO JIMBO LA MWIBARA.pdfMWALIKO JIMBO LA BUNDA.pdf
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda