• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TIMU YA WATAALAMU WA TATHIMINI NA UFUATILIAJI WA MIRADI YA MAENDELEO WAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI

Posted on: March 27th, 2025

Timu ya wataalamu tathimini na ufuatiliaji kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bunda siku ya tarehe 26/3/2025 wamefanya ziara ya siku mbili ya kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo kwa upande wa Afya na elimu inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri.

Lengo la ziara hiyo ni kufanya tathmini na kufuatilia fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa Jimbo na mapato ya ndani katika miradi ya Afya na elimu zimefikia wapi katika utekelezaji wa miradi hiyo tangu walipozipokea katika akaunti zao kwa ajili ya utekelezaji.

Timu hiyo, ilitembelea na kukagua hospitali ya Wilaya ambayo ilipokea fedha za mapato ya ndani, zikiwa na lengo la kusambaza umeme kwenye majengo 12 katika hospitali ambapo tayari hatua za Awali zimeshaanza kutekelezwa ikiwemo hatua za manunuzi kupitia mfumo wa Nest.


Pia, walitembelea shule ya msingi Songambele, Salama B, Kabainja, Sarawe, Nyamuswa A,  ujenzi wa matundu 10 ya vyoo katika shule ya Sekondari Nansimo, ukamilishaji wa jengo la ofisi ya Kata Salama.



Miradi hii baadhi imepokea fedha kutoka Mfuko wa Jimbo na mapato ya ndani kwa ajili ya utekelezaji na ukamilishaji.

Timu ya wataalamu ya tathmini na ufuatiliaji wa miradi walitembelea na kukagua Zahanati ya Kyandege, Mwiseni, Muranda, Nyamitwebili, Tiringa'ati na Kabainja. Zahanati hizi zimepokea fedha kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya utekelezaji na ukamilishaji.Miradi hiyo yote imepokea fedha za Mfuko wa Jimbo na mapato ya ndani kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji, hivyo timu ilipita kukagua na kujiridhisha kama fedha zilizopokelewa zipo katika hatua Gani ya utekelezaji katika miradi  na kuwasisitiza wasimamizi wote wa miradi kuharakisha utekelezaji wake haraka ili miradi iweze kukamilika kwa wakati na wananchi waweze kupata huduma kama zilivokusudiwa.

Katika miradi yote waliyotembeleatay baadhi ya miradi  ilikuwa imeshaanza utekelezaji wake na wapo hatua mbalimbali za ununuzi wa vifaa na ukamilishaji ili kuweza kukamilisha kabisa miradi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU 5 YA UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA MPANGO MKAKATI

    April 25, 2025
  • PROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda