Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri va Wilaya va Bunda anapenda kuwataarifu Watanzania Wote walioomba nafasi za kazi kwa nafasi udereva zilizotangazwa kupitia tangazo la tarehe 15 April. 2025 kuwa usaili unatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa halmashauri uliopo Kibara siku ya tarehe 09/05/2025 kuanzia Saa 2:00 Asubuhi.
Bofya hapa kwa maelezo zaidi:
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda