Posted on: June 16th, 2021
Zaidi ya vijana 570 waliohitimu mafunzo ya mgambo katika wilaya ya Bunda amepatiwa ajira katika kampuni ya ulinzi ya SUMA JKT.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa wilaya hiyo Mwalimu Lydia Bupilipili amb...
Posted on: June 15th, 2021
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Musoma Vicent Naano amewataka wadau wa uwekezaji wilaya ya Bunda kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya ya Bunda Mwl. Lydia Bupilipili kuhakikisha wa...
Posted on: June 5th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Lydia Bupilipili amewapongeza na kuwashukuru wadau mbalimbali wanaochangia maendeleo katika Wilaya ya Bunda.
Hayo yamesemwa Juni 4,2021wakati wa hafla ya kutunuku vyeti k...