• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi Halmashauria ya Wilaya ya Bunda

Posted on: January 22nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi amewataka  wataalamu  Halmashauri  ya Wilaya ya Bunda kuweka utaratibu mzuri wa manunuzi wa vifaa vya ujenzi ili  miradi ya ujenzi iende kwa Kasi.

Hayo ameyasema  Januari21, 2022  alipofanya ziara ya kukagua miradi maendeleo ya ujenzi wa Vituo viwili vya Afya na mapokezi ya Vyumba 87 vya madarasa .

Mhe Hapi amesema kuwa kumekuwa na tabia ya kuchelewesha kupeleka vifaa katika maeneo ya ujenzi na hivyo kufanya ujenzi kutomalizika kwa wakati na kusababisha wananchi kukosa haki yao yakupata huduma maeneo jirani.

“vifaa vinapochelewa wananchi wanakosa kupata huduma bora zaidi kutokana na mradi kutokamilika kwa wakati”amesema Mhe Hapi

Aidha Mhe.Hapi amewataka wananchi wa Kata ya Iramba na Kata Jiriani kushirikiana katika kuangalia kazi ya ujenzi unavoendelea ili uweze kukamilika kwa wakati.

“Mradi huu ni wa wananchi lazima mfuatilie ili mtambue fedha zenu zinavotumika.”amesema Mhe Hapi

Naye Mchungaji Hosea mkazi wa kijiji cha Isanju amemshukuru  Mkuu wa Mkoa  kwakutembelea na kukagua ujenzi wa kituo cha afya Isanju .

“Tunaomba  huu uwe utaratibu  wa kufika mara kwa mara ili tupate maendeleo mengine zaidi”amesema Hosea

Aidha Hosea amesema kuwa Wananchi  wa Isanju wanatambua juhudi za Serikali ya Awamu ya sita chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan kwakuleta maendeleo kwa wananchi.

“Tunashukuru na kuzipokea Juhudi zake’’amesema Hosea

Kwa Hatua ingine Mhe.Hapi amewataka wakuu wa Idara kuwajibika  katika nafasi zao  kwakusimamia miradi inayotekelezwa ili kuleta maendeleo kwa Wananchi pamoja na kusimamia Ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Mbali na kutembelea maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya Isanju Pia Mhe Hapia amewapongeza uongozi wa Kata ya Hunyari kwa Kazi nzuri  ya kusimamia  ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Hunyari.

‘Nimeridhishiwa na hatua ya ujenzi,Niwapongeze viongozi na wananchi kwakushirikiana’’.amesema Mhe.Hapi

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ilipokea kiasi cha shilingi 250,000,000 zinazotokana na miamala ya simu kwaajili ujenzi wa kituo cha Afya Isanju Septemba 2021 na Shilingi 250,000,000 Januari,2022 kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Hunyari.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI January 20, 2023
  • MKOPO WA WATUMISHI,2022/2023 August 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI December 13, 2022
  • TANGAZO LA MKOPO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDa November 05, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA UMMA

    August 28, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA YAVUNJA REKODI MAKUSANYO YA MAPATO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    August 03, 2022
  • Halmashauri ya Wilaya ya Bunda yakabidhi vyumba vya madarasa 87 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

    January 22, 2022
  • Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

    January 22, 2022
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kilimani Street

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0677002976

    Hamishika: 0783669938

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda