• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA.

Posted on: January 21st, 2025

Kamati ya huduma za jamii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Halmashauri,wamefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya Afya na Elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, siku ya tarehe 21/1/2025.

Ziara hiyo imeongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii ambaye pia ni diwani wa kata ya kibara Mhe.Mtamwega Toto Mgaywa na lengo kuu la ziara ni kutembelea na kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa katika kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Wajumbe wa kamati walitembelea na kukagua miradi ya elimu ambapo,walitembelea  shule ya msingi  Namibu A na kukagua ukamilishaji  wa  vyumba vitatu vya madarasa na matundu sita ya vyoo,pia, walitembelea na kukagua ujenzi katika  shule ya msingi Bulomba ambapo walikagua vyumba vinne vya madarasa ya msingi na awali pamoja na matundu 12 ya vyoo.





Pia, walitembelea shule ya msingi Igundu na walikagua ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu sita ya vyoo na ujenzi upo katika hatua ya ukamilishaji wa lipu.


Miradi hiyo ya elimu msingi na awali ni fedha kutoka serikali kuu kupitia mradi wa Boost.

Aidha, kamati ilitembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Amali, iliyopo kijiji cha Makwa kata ya Nampindi ambapo jumla ya majengo 11 yanajengwa katika shule hiyo.



Kamati ilikagua ukamilishaji wa nyumba ya Mwalimu (2 in1) ambayo ipo katika hatua ya upauaji, pia,walikagua ujenzi wa majengo yanayoendelea kujengwa katika shule hiyo ambayo yapo katika hatua za ufungaji wa lenta,ujenzi wa msingi na upauaji.

Pia walitembelea na kukagua shule mpya ya sekondari Mahyolo iliyopo katika kijiji cha Mayolo ambapo, ujenzi wake upo katika hatua za ufungaji wa lenta na ujenzi wa msingi.



Kamati ya huduma za jamii ilihitimisha ziara yake kwa kutembelea na kukagua ukamilishaji wa Zahanati ya Mwiseni iliyopo kata ya Butimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI June 04, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA

    June 04, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 03, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda