• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA.

Posted on: December 9th, 2024

Wilaya ya Bunda imeadhimisha sherehe za maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, siku ya tarehe 9/12/2024,zilizofanyika katika ukumbi wa Malaika uliopo Bunda Mjini.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda Ndugu,Salum  Khalfani Mtelela akiwa ni mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mh. Dkt Vicent Anney.

Katika maadhimisho hayo wageni mbalimbali walialikwa na mada mbalimbali ziliwasilishwa na watoa mada kutoka sehemu tofauti, ambapo katika mada hizo ziligusa maendeleo ya vijana katika masuala ya uwekezaji kiuchumi na kiteknolojia, ambapo wananchi waliweza kuzijadili kwa pamoja.




Katika kongamano hilo mchokoza mada Mwalimu Kabeo alisema, wananchi wanatakiwa washirikishwe kwenye masuala ya kiuchumi ili wapate kujua fursa mbalimbali na waweze  kushiriki katika fursa hizo.

Pia, wananchi wanatakiwa wawezeshwe maeneo ya uwekezaji ili waweze kufanya biashara mbalimbali kwaajili ya kujiongezea kipato, Serikali inatakiwa iwawezeshe kiuchumi kwa kutoa mikopo mbalimbali na mikopo hiyo ifuate haki na usawa kwa makundi yote kama ilivyo hivi sasa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri kwa makundi ya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu.

“Tushirikiane katika jamii kwa pamoja katika kuhakikisha tunajenga maadili bora kwa Vijana wetu wa sasa na siyo kuiachia Serikali peke yake katika kusimamia maadili ya Vijana wetu.” Alisema

Mada zingine zilizowasilishwa katika kongmano hilo ni pamoja na Rasilimali za Asili na Maendeleo endelevu, iliwasilishwa na Dkt. Grace Benedikito. Elimu na Teknolojia katika miaka63 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliwasilishwa na Mwl.Deus Helman na Baraka Wambura.



Ndugu, Mtelela aliwapongeza na kuwashukuru watoa mada wote, pamoja, na washiriki walio changia mada mbalimbali zilizo wasilishwa katika kilele cha kongamano la maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

“Wazee wetu wametuanzishia Uhuru wa kiuchumi na sisi tunalo jukumu lakuhakikisha tunalinda amani na Uhuru tulio nao kwa kuhakikisha tunajipatia maendeleo yetu.”Alisema Ndugu, Mtelela

”Uongozi madhubutina  Ushirikishwaji wa Wananchi ni Msingi wa Maendeleo Yetu”.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU 5 YA UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA MPANGO MKAKATI

    April 25, 2025
  • PROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda