Katibu wa kamati ya Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Daktari Hamidu Adinani, alimkaribisha Mwenyekiti wa kamati ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Bi. Chnagwa M. Mkwazu kufungua kikao cha Robo ya kwanza kuanzia mwezi Julai hadi September, 2023.
Kamati hiyo ilikutana siku ya tarehe 30/10/2023 katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji na lengo la kikao hicho ni kupokea taarifa ya utekelezaji wa Afua za Lishe kwa kipindi cha Robo ya kwanza.
Wajumbe wa Kamati ya Lishe wakiwa kwenye picha ya pamoja
Kikao hicho kilihudhuriwa na Wakuu wa Idara zote zinazohusika na masuala ya Lishe kwa kuwasilisha taarifa zao.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda