• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BALOZI WA SWEDEN ATEMBELEA SHULE YA MSINGI IBWAGALILO KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA GPE LANES.

Posted on: November 22nd, 2024

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Bi. Charlota Marcias ameupongeza mkoa wa Mara kwa kutumia ipaswavyo fedha za mradi wa Elimu wa Global Partnership for Education (GPE LANES) kwa kujenga miundombinu ya Shule ambayo imesaidia kupunguza changamoto ya msongamano wa wanafunzi madarasani.


Hayo ameyasema tarehe 22/11/2024 alipokuwa akifanya  ukaguzi wa mradi huo wa Elimu katika Shule ya msingi Ibwagalilo iliyopo kata ya Chitengule  katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.

Amesema kuwa lengo la kutembelea mradi huo wa Elimu ni kuona kama ushirikiano waliyo nao na Serikali ya Tanzania unafanyika kama wanavyo tarajia na kuongeza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa mradi huo katika mikoa aliyo pita kutembelea na kukagua miradi hiyo.

"Tumeanzia Mkoa wa Arusha, Ngorongoro na hatimaye mkoa wa Mara lengo la kuanzisha mradi huu ni kuimarisha ushirikiano na kukuza sekta ya Elimu nchini Tanzania "Amesema Bi. Marcias

Kwa upande wake Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt.Charles Mahera  amewahimiza viongozi waliopo Wilayani na Mikoani kuimarisha usimamizi pindi wanapo pata pesa za ufadhili kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu ya Elimu ya Tanzania.

" Ili Elimu iwe bora na wanafunzi wapate ujuzi na maarifa yatakayo wasaidia ni lazima kuboresha kwanza miundo mbinu ya Elimu na Serikali inapambana sana  ili kuhakikisha inaboresha miundombinu ya Elimu kwahiyo lengo la ukaguzi huu ni kujiridhisha kama kweli pesa za mradi wa GPE zimetumika kama zilivyo pangwa"Amesema Dkt. Mahera

Naye, Mkurugenzi Msaidizi anayesimamia Elimu ya Awali na Msingi Suzan Nyambula amesema utekelezaji wa mradi unaridhisha kuanzia thamani ya fedha, ubora pamoja na Ushiriki na wawekezaji  wa mradi huo wameridhika kabisa na utekelezaji wa mradi huo kwa maeneo yote waliyopita na kwa sasa wanafunzi wamepunguza utoro wa kuhudhuria shuleni.

Hata hivyo, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ibwagalilo Isack John amesema uwepo wa mradi huo umesaidia kupokea wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali na kuongeza kuwa  uwepo wa  ufadhili huo  umeleta matokeo Mazuri  kwa wanafunzi wa darasa la nne kwa mwaka wa masomo 2023/2024  ambao  katika mitihani yao ya jipime darasa la nne wote walifaulu.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU 5 YA UANDAAJI NA UTENGENEZAJI WA MPANGO MKAKATI

    April 25, 2025
  • PROJECT ZAWADI YAIPIGA TAFU MASHINDANO YA UMITASHUMTA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    April 07, 2025
  • WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAPEWA TUZO NA ZAWADI .

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika: 0742163056

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda