Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia Wananchi wote nafasi za kazi ya Katibu Muhtasi daraja III. Nafasi zipo 4, kwa maelezo zaidi bofyaTangazo la Nafasi za Kazi.pdf
Kilimani Street
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0677002976
Hamishika: 0783669938
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda