Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anapenda kuwataarifu waombaji kazi MTENDAJI WA KIJIJI III waliofanya usaili tarehe 26/05/2024 kuwa waliofaulu usaili huo ni kama ilivyoorodheshwa kwenye tangazo hili , Ili kuona bofya Link hii TANGAZO LA KUITWA KAZINI.pdf
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754335739
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda