• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI 2024 HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WAFUNDWA.

Posted on: November 23rd, 2024

Wasimamizi wasaidizi wa  vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa   ngazi ya vijiji na vitongoji  unaotarajia kufanyika tarehe 27/11/2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda wameapishwa na kupewa mafunzo ya kanuni,  maadili, taratibu na Sheria  za usimamizi wa uchaguzi.

Uapisho huo umefanywa na Msimamizi wa Uchaguzi wa  Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Bw.George S.  Mbilinyi siku ya tarehe 23/11/2024 katika ukumbi wa   Chuo cha Walimu Bunda.

Sambamba na hayo Bw.Mbilinyi amewataka wasimamizi hao kuhakikisha wanatekeleza zoezi hilo kwa usahihi na kuufanya uchaguzi kuwa wa huru na haki  huku akisisitiza umuhimu wa kufuata taratibu na kanuni ili kuepusha sintofahamu zinazoweza  kujitokeza.

"Mawasiliano katika shughuli yoyote ambayo tunakwenda kufanya ni muhimu sana ukiona kuna vitu huvielewi ni muhimu kuwasiliana na viongozi ili kuhakikisha tunaweka mambo sawa kwahiyo naomba kila mtu kuheshimu mawasiliano ni jambo la kawaida, lakini ni muhimu sana kwenye kazi tunayoenda kuifanya, kitu kingine nyie siyo wasemaji wa uchaguzi endapo mtu atakuja kuuliza jambo lolote kuhusu uchaguzi mwambie awasiliane na mimi"Amesema Msimamizi wa Uchaguzi.

Kwa upande wake Mwezeshaji wa Mafunzo hayo,  Ndugu Morris Johnson  amesema ni vyema kwa wasimamizi wa vituo vya kupiga  kura kujua taratibu za kupiga kura ambazo zinapatikana katika kanuni za kupiga  kura kuanzia kanuni  namba 31 hadi 37, na kuongeza kuwa vituo vya kupigia kura siku ya tarehe 27 mwezi 11 mwaka 2024 vitafunguliwa rasmi kuanzia muda wa saa mbili kamili asubuhi na kufungwa saa kumi kamili jioni.

“Niwakumbushe kuwa baada ya mtu yeyote kupiga kura hatarusiwa kubaki kwenye eneo la kituo cha kupigia kura isipokuwa anarusiwa kukaa umbali wa mita 100 kutoka kilipo kituo cha kupigia kura lakini pia tuzingatie usalama wa mpiga kura na usiri kwa mpiga kura”Amesema Ndugu Johnson.

Kwa uapande wao Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wamesema mafunzo hayo yatawasaidia katika hatua zote za uchaguzi kuanzia zoezi la kupiga kura hadi kutangaza matokea ya uchaguzi na kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa ufanisi na kufuata sheria.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 23, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA

    June 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO LA WATUMISHI KATI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA, BUNDA DC NA TC

    June 16, 2025
  • MRATIBU WA MRADI WA BCRAP ATAJA VIPAUMBELE VITAKAVYOENDA KUTEKLELEZWA KWA AWAMU YA PILI YA MRADI

    June 11, 2025
  • ZAIDI YA MILIONI 300 ZA POKELEWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUHIMILI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI

    June 09, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda