• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wadau wa Shughuli za Maendeleo Bunda wapongezwa na kutunukiwa vyeti.

Posted on: June 5th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Lydia Bupilipili amewapongeza na kuwashukuru wadau mbalimbali wanaochangia maendeleo katika Wilaya ya Bunda.
Hayo yamesemwa Juni 4,2021wakati wa hafla ya kutunuku vyeti kwa wadau wa maendeleo  katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda uliopo Bunda .
Mhe Bupilipili  alisema kuwa tunzo hizi kwa wadau zipo katika nyanja mbalimbali ikiwemo elimu,Afya,Maji,ulinzi wa amani nakusimamia maswala ya ukatili ya kijinsia,Kupitia Taasisi na watu mbalimbali waliweza kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo Wilaya ya Bunda.
"Katika kutambua hilo sisi kama serikali hatuna budi yakutothamini mchango wao katika kuleta maendeleo Wilaya ya Bunda".alisema Mhe. Bupilipili
Aidha Mhe Bupilipili alisema kuwa changamoto  zinazowakabili wananchi zimetatuliwa na Serikali kushirikiana na wadau, ambao  wamekuwa chachu katika kusukuma gurudumu la maendeleo hapa Bunda.

"Kwa mfano TANAPA, Grumet Fund na Taasisi nyingine wamesaidia kufanikisha shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa,Zahanati bila kuwasahau PCI ambao wamekuwa wakihamasisha chakula mashuleni ,kutoa vitabu,mafunzo kwa walimu wa KKK ambapo kwa kiasi kikubwa imesaidia ufaulu kwa wanafunzi".alisema  Mhe.Bupilipili
Naye ,Makamu Mwenyewe kiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mhe Keremba Irobi amewashukuru wadau wa maendeleo kwa kutosita kuchangia pindi inapotokea serikali inauhitaji wa mchango wao.

"Wadau wa maendeleo wamekua mstari wa mbele katika kuleta maendeleo BundaTuwapongeze"alisema Mhe Irobi.
Kwa hatua ingine Mhe Irobi amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Ldyia Bupilipi kwakuendelea kuwaunganisha wadau mbalimbali pamoja na Serikali katika kuleta maendeleo Bunda.

Kwa upande wake,Yassin   Ally Mkurugenzi wa Shirika la Kivulini  kwa niaba ya wadau wengine alimshukuru Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe.Lydia Bupilipili kwakuendelea kutambua na kuthamini mchango wa wadau wa maendeleo na kuahidi kuendelea kushirikiana katika shughuli yeyote kuleta maendeleo Bunda.

Mwisho Mhe Bupilipili alivishukuru vyombo vya habari vya kijamii vinavopatikana Bunda kwa kuibua na kutoa taarifa mbalimbali za Wilaya ya Bunda.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 23, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DKT BWIRE AFADHILI VIFAA VYA MICHEZO KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    August 18, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI MARA

    August 15, 2025
  • TIMU YA HALMASHAURI YAAGWA RASMI KUELEKEA MASHINDANO YA SHIMISEMITA, TANGA

    August 14, 2025
  • WAIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI MKUU 2025 NGAZI YA KATA WALA KIAPO CHA KUTUNZA SIRI NA KUJITOA KATIKA CHAMA CHA SIASA

    August 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda