• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Shule za Msingi,Mugeta,Sanzate na Nyamitwebili zilipo Halmashauri Wilaya ya Bunda yanafuika na jengo la Maktaba yaliyofadhiliwa na Shirika lisilo la Serikali PCI

Posted on: December 19th, 2020



Kamishina  wa Elimu Wizara ya Elimu amezindua Maktaba  Nane za mfano zenye gharama  ya shilingi milioni 240,959,579  zilizojengwa na Shirika lisilo la Kiserikali Project Concern Internation (PCI) Kwakushirikiana na Halmashuri, serikali ya kijiji Halmashauri ,pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mara.

Akizingumza kwa niaba ya Kamishina Bwa. Victor Bwindiki Mdhibiti Mkuu Ubora Kanda ya Ziwa katika ghafla ya uzinduzi wa Maktaba iliyopo Shule ya Msingi Nyamitwebili Disemba 17,   2020.

Bwa.Bwindiki ametoa pongezi kwa PCI kwa kazi nzuri waliofanya kujenga Maktaba itakayoleta manufaa kwa kizazi cha sasa na baadae.

Bwa. Bwindiki ametoa wito kwa walimu kuhakikisha uwepo  wa utaratibu  mzuri wa kuingia Maktaba kwaajili ya kujisomea ili waendelee kutunza vitabu pamoja na thamani zilizopo.

“Niwajibu wa Walimu kusimamia utunzaji wa Maktaba naamini kupitia maktbaa hii  itasaidia hata wadau wanaofanya  tafiti kuweza kupata taarifa mbalimbali ili kukamilisha tafiti zao.”Alisema  Bwindiki

Aidha Bw.Bwindiki amewataka wazazi kuhakikisha watoto waliofikisha umri wa kwenda shule wanaenda.

“kama mzazi niwajibu nia wajibu wako kuhakikisha mtoto aliyefikisha umri wa kwenda shule unamuandikisha ilikuendelea kukuza vizazi vyenye elimu”alisema Bwindiki

Bwa. Bwindiki aliendelea kuipongeza Shirika la PCI kwa kutoa chakula Shuleni kwa kipindi cha Miaka Kumi ambapo mpaka sasa imesaidia kuleta hamasa kwa wazazi kuchangia chakula shuleni.

“PCI imeonesha umuhimu wa chakula shuleni hata walipositisha kutoa huduma ya chakula wazazi wanaendelea.”alisema Bwindiki

Naye ,Susana Nyarubamba Mkurugenzi  msaidizi wa Elimu TAMISEMI amesema  Serikali imejipanga kikamilifu katika kuweka mazingira bora ya kujifunza na kufundishwa,huku akisisitiza kila  mwananchi   kuwa mlinzi wa mwenzake katika kulinda miradi inayotekelezwa na iliyokamilika.

“Maktaba hii itakuja kutumika na vizazi na vizazi hivyo PCI wameacha  alama.”Alisema Bi.Nyarubamba

Katibu Tawala mkoa Bi. KarolinaMthapula amewahasa wananchi kuendelea kuhamasisha wazazi watumie muda mwingi kuangalia maendeleo ya Elimu kwa Watoto.

Pamoja na hayo Bi.Mthapula  ametoa rai kwa walimu kusimamiz vizuri maendeleo ya wanafunzi darasani ilikujenga kizazi chenye tija.

“Walimu hakikisheni kuiwa wanafunzi wanasoma kwelikweli na vitabu vya maktaba sio mapambo”alisema Mthapula

Kwa upande wa Mkurugenzi wa Miradi PCI Bi Amina Mgeni ametoa shukrani kwa Ngazi ya kijiji,Halmashauri,mpaka mkoa kwakuendelea kutoa sapoti kama wadau.

Aidha Bi Mgeni ametoa wito kwa jamii na viongozi kuwa  kinachofanya  na Shirika ni kwaajili yetu sisi wananchi na sio wazungu  wazazi na walezi tuendelee kushikama kwa pamoja katika kuhimiza watoto kusoma pamoja na kutumia  maktaba kwa manufaa ya sasa na baadae.

“Binafsi nimejifunza kusoma katika maktaba na sio darasa hivyo wazazi tuwe mstari wa mbele kuhamasisha watoto kusoma”alisema Bi mgeni

Bi Mgeni alieleza zaidi kuwa Serikali ya Awamu ya Tano chini  ya Dkt John Pombe Magufuli inaendelea kuwathami wananchi wake kwakuweka mazingira bora ya kujifunza sisi kama wadau wa Elimu hatuna budi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais.

“Tumuunge mkono mhe Rais  kwa kufanya uyote yale anayoyasema na sisi kama viongozi tuwe walinzi na kusimamia vya kwetu”.alisema Bi Mgeni

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Lydia Bupilipil pia ametoa pongezi kwa Shirika la PCI kwakuwatendea wananchi haki na kuenedelea kushirikiana na Serikali katika kuchangia katika miradi ya maendeleo ya elimu hasa katika kuboresha miundombinu .

“Kulikua na wanafunzi ambao hawapendi kwenda shule lakini siku hadi siku kutokana na jitihada za serikali na wadau wanafunzi hao wanahamasika kusoma”.alisema Bupilipili

Naye,Mwekiti wa Kijiji cha Nyamwitebili Bwa.Masambu ametoa shukrani kwa Shirika la PCI kwa kuendelea kuuonga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano nakuahidi kuendelea kutunza na kuthamini miundombinu yote iliwekwa katika maktaba na mazingira ya shule kwa ujumla.

Kwa hatua nyingine Bwa.Bwindiki alikagua mradi wa maji ya kisima unaosukumwa kwakutumia sola uliojengwa na PCI katika shule ya Msingi Busambara ambapo  Mradi  huo uligharimu kiasi cha shilingi milioni 43.6.

Mbali na utoaji wa Chakula shuleni kwa kipidi cha Miaka Kumi,PCI pia imejikita katika kutoa mafunzo kwa walimu,vitabu kwa wanafunzi pamoja na kutoa mafunzo kwa jamii ili kujenga uhusiano mzuri kati ya mwalimu,mzazi na mwanafunzi

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KATIKA SHULE YA SEKONDARI SALAMA December 17, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWIBARA December 17, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KATIKA SHULE YA SEKONDARI CHITENGULE December 17, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MURANDA December 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Wilaya ya Bunda yatoa motisha kwa Shule ,Walimu na Wanafunzi waloffanya vizuri matokeo ya darasa la saba mwaka 2020

    February 20, 2021
  • Shule za Msingi,Mugeta,Sanzate na Nyamitwebili zilipo Halmashauri Wilaya ya Bunda yanafuika na jengo la Maktaba yaliyofadhiliwa na Shirika lisilo la Serikali PCI

    December 19, 2020
  • Halmashauri Ya Wilaya ya Bunda ya Zindua Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Madiwani.

    December 17, 2020
  • Halmashauri ya Wilaya ya Bunda,Butiama ,Serengeti na Musoma Dc yanufaika na Mafunzo ya TARI

    December 05, 2020
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 Bundadc
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019
  • Sekretarieti ya Ajira
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Mara Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kilimani Street

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0677002976

    Hamishika: 0783669938

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda