• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKURUGENZI MTENDAJI AWAPONGEZA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA KWA KUVUKA MALENGO YA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Posted on: July 2nd, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu George S. Mbilinyi amewapongeza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kwa ushirikiano wa pamoja katika utendaji wa kazi kwa kuweza kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kuhakikisha tunavuka lengo kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Pongezi hizo alizitoa wakati wa kikao kazi na watumishi wa Halmashauri kilichofanyika siku ya tarehe 2/7/2024, katika ukumbi wa mikutano ulipo Kibara Stoo.

“Lengo kuu la kufanya kikao hiki ni kwa ajili ya kujengana na kupata tathimini ya mapato kwa mwaka wa fedha 2023/2024,  changamoto zote za mwaka jana mlizopitia tushirikiane kwa pamoja ili tuone ni namna gani tutaweza kuzitatua changamoto hizo.” Alisema Mkurugenzi

Naye, Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Ndugu Mtaki Zakaria Nyaganwa alisoma taarifa ya tahmini ya mapato kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na  kusema tuna haki ya kujipongeza kwa kazi nzuri tuliyoifanya ya ukusanyaji wa mapato hadi kufikia Tshs 1,905,622,929.16 sawa na asilimia 97.4 ambazo hazijawahi kufikiwa tangu Halmashauri hii ilipogawanywa. Hizi ni juhudi za pamoja zilizofanywa na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, watumishi na wakusanya mapato wote, hivyo kujipongeza ni haki yetu sote.

“Kupitia kikao kazi hiki, tunatarajia kutoa dira ya ukusanyaji mapato kwa mwaka wa fedha 2024/2025  ambapo Halmashauri tumejipanga kukusanya kiasi cha Tshs 2,517,285,572 ikiwa Tshs 1,955,848,000 ni mapato yasiyolindwa na Tshs 561,437,572 ni mapato lindwa. Hizi ni fedha nyingi na kwa mara ya kwanza Halmashauri tumejipanga kukusanya ndani ya mwaka wa fedha 2024/2025.” Alisema Ndugu Nyaganwa.

Mkurugenzi Mtendaji aliwapongeza watumishi wote kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kuweza kufikisha asilimia 97.4 ya ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Tujitahidi kuongeza juhudi na ushirikiano katika kuhakikisha tunasimamia ukusanyaji mapato na kufikia lengo tuliloliweka.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UDEREVA May 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA VIJANA RIKA BALEHE.

    May 31, 2025
  • WAUGUZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

    May 30, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANUFAIKA WA MRADI WA BCRAP

    May 15, 2025
  • VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU VYATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA HALMASHAURI

    April 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda