• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Katibu Tawala Mkoa wa Mara azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

Posted on: September 9th, 2021

Katibu Tawala Mkoa wa Mara Bwa. Albert Msovelo amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kuishi na      Sheria ,taratibu na miongozo ya  Utumishi wa Umma.

Hayo amesema Septemba 9, 2021 katika kikao na  Watumishi  kilichofanyika katika ukumbi wa  Kanisa la Kibara.

Bwa. Msovela amesema kuwa Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda waone umuhimu wa  kuzingatia  kanuni na taratibu za utumishi wa umma ili kila mmoja awajibike katika  nafasi yake

‘’kila mtumishi hapa aone umuhimu wa kufuatilia na kuishi na kanuni, taratibu na miongozo ya utumishi wa Umma’’

Bwa. Msovela alisisitiza watumishi kuwa na nidhamu,kila mtumishi aone umuhimu wa mtumishi mwenzake pamoja na kuthamini kazi za mtumishi mwenzake.

‘’Hakuna aliyebora kuliko mwengine nidhamu na heshima ni muhimu kwa kila  mtumishi ili kujenga mahusiano mazuri katika kazi’’amesisitiza Bwa Msovela

Aidha Bwa. Msovela  alitoa rai kwa  Watendaji wa Kata na Vijiji ,Elimu kata na Watumishi wengine wasio wa makao makuu kuhakikisha wanajibika kwa nafasi zao katika vituo vyao vya kazi.

‘kwa watendaji wa kijiji kuhakikisha wanasoma taarifa ya mapato na matumizi,wahudumu wa afya kuhakikisha wanatoa huduma nzuri kwa wagonjwa ili kuepusha malalamiko yasiyo ya lazima’’alisema Bwa.  Msovela

Kwa hatua nyingine Bwa.Msovela alisisitiza ukusanyaji wa mapato kwakuhakisha taarifa  za mapato zinafika mkoani kila mwezi ikiwa na kuziba mianya ya upotevu wa mapato kiholela.Pamoja na kuhakikisha  a asilimia 40 inapelekwa  kwa Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu. Sambamba na kusimamia miradi yote ya  Halmashauri.

‘’Niwajibu kuhakikisha mapato yanaongezeka na sio kupungua kwakuhakikisha mianya ya kupoteza mapato haipo tena kuanzia sasa’’amesema Bwa Msovela.

Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Bi.Changwa  Mkwazu alitoa shukrani kwa katibu Tawala Mkoa kwa kuona umuhimu wakuja kuongea na  Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

Aidha Bi. Mkwazu aliahidi kushirikiana na Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda katika kufuata kanuni,taratibu na miongozo ya utumishi wa umma.

‘’Ni kuahidi tu Ndugu katibu Tawala Mkoa kuwa maelekezo yote uliyoyatoa mimi kama kiongozi wa hawa watumishi niahidi kwamba yatatekelezwa’’amesema Bi Mkwazu

 Naye, Mary Ruseke Afisa Mifugo kwa niaba ya watumishi wengine ametoa shukrani kwa Katibu Tawala Mkoa kwakufika kutoa maelekezo lakini pia kusikiliza kero za watumishi.

‘Sisi kama watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda tumefarijika na ujio huu,tunaamini mabadiliko yatapatikana kuanzia sasa’amesema  Bi.Ruseke

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ina jumla ya Kata 19,Tarafa 3 na Vijiji 78 na vitongo 378 pamoja na majimbo mawili Mwibara na  Bunda.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 23, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DKT BWIRE AFADHILI VIFAA VYA MICHEZO KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

    August 18, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI MARA

    August 15, 2025
  • TIMU YA HALMASHAURI YAAGWA RASMI KUELEKEA MASHINDANO YA SHIMISEMITA, TANGA

    August 14, 2025
  • WAIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI MKUU 2025 NGAZI YA KATA WALA KIAPO CHA KUTUNZA SIRI NA KUJITOA KATIKA CHAMA CHA SIASA

    August 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda