Halmashauri ya Wilaya ya Bunda siku ya tarehe 21/3/2025 imeadhimisha siku ya misitu Duniani, kwa kupanda miti 100 katika shule ya Sekondari ya wasichana Mara, ambapo miti mbalimbali ya matunda, na kivuli ilipandwa.
Kama kauli mbiu:
"Ongeza thamani ya mazao ya misitu kwa uendelevu wa rasilimali kwa kizazi hiki na kijacho".
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0742163056
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda