• Malalamiko |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
Bunda District Council
Bunda District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji & Ushirika
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Fedha & Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Mifugo & Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi & Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Elimu Msingi
    • Barabara
    • Mifugo
    • Afya
    • Mazao ya kilimo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi & Mipango
      • Elimu, Afya & Maji
      • AIDS Control
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Uma
    • Video
    • Hifadhi ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Elimu ya Kujikinga na Virusi vya Corona yatolewa Halmashauri ya Wilaya Bunda.

Posted on: March 26th, 2020




Elimu ya kujikinga na Corona Yatolewa kwa  Wananchi  Halmashauri ya Wilaya Bunda

Kutokana na Uwepo wa   ugonjwa wa corona nchini Tanzania,Halmashauri ya Wilaya ya Bunda  imeanza kutoa elimu kwa Wananchi wake  ili kuweza kuchukua tahadhari za kujiepusha na maambukizi dhidi  ya virusi vya corona.

Akizungumza  katika kipindi Maalum kilichofanyika    Mazingira Fm Machi 22,2020. Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya Dkt.Nuru  Yunge amesema  virusi huwa vina jamii tofauti  kwa virusi vya corona ni virusi  ambavyo  vinasababishwa na  homa kali ya mapafu ,hupelekea  mtu kushindwa kupumua, ,vidonda kooni na dalili nyingine.Ugonjwa huu unaweza kuepukika pale itakapuchukuliwa tahadhari.

Yunge amewaeleza  wananchi  kuhakikisha wanafuata maelekezeo yanayotolewa na watalaam wa  afya ilikuendelea kujikinga na Ugonjwa huu kwa kunawa  mikono kila wakati kwa maji yanayotiririka na sabuni,kuepuka kusalimiana na kwa kushikana mikono,kukumbatiana ,kuepuka kugusa macho,pua na mdomo,kufunika mdomo wakati wa kukohoa kwa kutumia kitambaa kisafi au sehemu ya mkono.‘Wananchi wasiwe na hofu zaidi tuendelee kujikinga”

Aidha Halmashauri ya Wilaya Bunda imetenga  eneo maalumu katika  kituo cha afya Kisorya, na Ikizu ambapo endapo kutabainika au kuhisiwa  mgonjwa mwenye dalili za virusi vya corona atawekwa chini ya uwangalizi kwa siku 14 katika vituo taja.

Mwisho alisisitiza wananchi kuepuka misongamano isiyoyalazima  kuchukua tahadhari ni muhimu ili kuepuka na maambuki ya virusi vya corona .alisema dkt Yunge

Mmoja wa wasikilizaji  wa kipindi hicho cha Radio  Bi. Nyangeta alitoa shukurani  kupitia ujumbe  mfupi wa meseji kwa  kupata elimu kuhusu ugonjwa wa  virusi vya corona

Ugonjwa wa virusi vya corona vilianza rasmi china katika Mji wa Wuhan,na kusambaa nchi mbalimbali na kwa Tanzania mgonjwa wa kwanza aligundulika Jijini Arusha mnamo  Machi16,2020.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 07, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI September 18, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE December 20, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI KATA NA MIJI WAAGIZWA KUENDELEA KUWEKA MSISITIZO KATIKA UHAMASISHAJI WA UCHANGIAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 05, 2025
  • ELIMU IENDELEE KUTOLEWA KWA WANANCHI KULA VYAKULA VYENYE LISHE ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO

    September 05, 2025
  • TMDA WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA AFYA JUU YA UTOAJI WA TAARIFA ZA MADHARA NA MATUKIO YA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI.

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Mvamizi wa eneo la soko.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Dira na Dhamira
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Mpango Mkakati
  • Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Samaki
  • Muundo wa Taasisi
  • OPRAS - Form

Viunganishi Muambata

  • Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Bundadc
  • Matokeo ya darasa la saba
  • Matokeo ya darasa la saba
  • PO-RALG
  • PO-PSM
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Kibara Stoo.

    Anuani ya Posta: 126, Bunda

    Simu: 0282621055

    Hamishika:

    Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda