Saturday 20th, April 2024
@Ukumbi wa Halmashauri, Hunyari, Nyatwali na Nyabehu
Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kutembelea Wilaya ya Bunda kwa ajili ya kufanya shughuli mbalimbali za kiserikali. Katika ziara hiyo Mhe. Waziri Mkuu atapata fursa ya kufanya uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo, kuzungumza na Watumishi wa Halmashauri za Wilaya na Mji ikiwa ni pamoja na kuzungumza na Wakuu wa Taasisi mbalimbali na mwisho atazungumza na Wananchi katika mkutano wa hadhara utakaofanyika katika viwanja vya Saba saba mjini Bunda.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754821313
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda