Friday 29th, March 2024
@Balili Rock Resort - Bunda, Mara
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Abt Associates Inc. inayotekeleza mradi wa Kuboresha Mifumo ya Sekta ya Umma (PS3) watatoa mafunzo kwa Watumishi wa Serikali za Mitaa na Watumiaji katika vituo vya kutolea huduma. Mafunzo hayo yatafanyika katika ukumbi wa Balili Rock Resort, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Mafunzo haya yataanza tarehe 12/6/2017 na kukamilika tarehe 13/6/2017. Baada ya mafunzo ya ngazi hii, wanufaika watakwenda kuwafundisha Watumiaji wa mfumo huo katika vituo vya kutolea huduma ngazi za Kata na Vijiji.
Kibara Stoo.
Anuani ya Posta: 126, Bunda
Simu: 0282621055
Hamishika: 0754821313
Barua Pepe: ded@bundadc.go.tz
Haki Miliki@ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bunda